Ufafanuzi wa ekolojia katika Kiswahili

ekolojia

nomino

  • 1

    tawi la biolojia linaloshughulikia uhusiano baina ya viumbehai na mimea na mazingira yao wanayoishi.

Matamshi

ekolojia

/ɛkɔlɔʄija/