Ufafanuzi wa ekseli katika Kiswahili

ekseli

nominoPlural ekseli

  • 1

    mtaimbo unaounganisha magurudumu mawili ya gari yaliyo sambamba k.v. magurudumu ya nyuma au ya mbele.

Asili

Kng

Matamshi

ekseli

/ɛksɛli/