Ufafanuzi msingi wa elea katika Kiswahili

: elea1elea2elea3

elea1

kitenzi sielekezi

 • 1

  kuwa juu ya maji bila ya kuzama.

  ‘Chombo kinaelea’

Matamshi

elea

/ɛlɛja/

Ufafanuzi msingi wa elea katika Kiswahili

: elea1elea2elea3

elea2

kitenzi sielekezi

 • 1

  chafuka roho hasa kwa kutaka kutapika.

  ‘Moyo unanielea’

Matamshi

elea

/ɛlɛja/

Ufafanuzi msingi wa elea katika Kiswahili

: elea1elea2elea3

elea3

kitenzi sielekezi

 • 1

  kuwa wazi kwa maana.

  ‘Maneno yako yamenielea’
  fahamika

Matamshi

elea

/ɛlɛja/