Ufafanuzi wa eleka katika Kiswahili

eleka

kitenzi elekezi

  • 1

    beba mgongoni.

    ‘Mama amemweleka mtoto’

Matamshi

eleka

/ɛlɛka/