Ufafanuzi wa elemea katika Kiswahili

elemea

kitenzi sielekezi~ka, ~lea, ~za

 • 1

  weka uzito upande fulani.

 • 2

  kimbilia penye usalama.

 • 3

  -pa mtu mizigo ya wajibu.

  ‘Fulani amenielemea’
  tegemea

Matamshi

elemea

/ɛlɛmɛja/