Ufafanuzi wa elimisha katika Kiswahili

elimisha

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

  • 1

    patia mtu elimu.

    fundisha

  • 2

    juvya, lea

Matamshi

elimisha

/ɛlimi∫a/