Ufafanuzi wa embe katika Kiswahili

embe

nominoPlural membe

  • 1

    tunda lenye kokwa moja kubwa, ganda laini na nyama tamu laini yenye rangi ya manjano linapoiva.

  • 2

    tunda la mwembe.

Matamshi

embe

/ɛmbɛ/