Ufafanuzi wa endapo katika Kiswahili

endapo

kiunganishi

  • 1

    neno la kuonyesha hali ya kutokuwa na hakika na jambo fulani.

    kama, pindi, iwapo, ikiwa, pindipo, taraa

Matamshi

endapo

/ɛndapɔ/