Ufafanuzi wa Endea kinyume katika Kiswahili

Endea kinyume

msemo

  • 1

    fanyia mtu jambo tofauti na makubaliano yaliyofikiwa.