Ufafanuzi wa endeleza katika Kiswahili

endeleza

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~ewa, ~wa

 • 1

  fanya jambo liendelee kutendeka.

  ‘Uongozi mpya utaendeleza kampeni dhidi ya ukimwi’
  auka

 • 2

  andika au taja herufi zinazounda neno.

 • 3

  panua kiwango cha elimu au ujuzi wa mtu.

  stawisha

Matamshi

endeleza

/ɛndɛlɛza/