Ufafanuzi wa enea katika Kiswahili

enea

kitenzi sielekezi~za

 • 1

  kuwa kila mahali; tandazika.

  ‘Ufukara umeenea kijijini’
  zagaa, jaa

 • 2

  tosha

 • 3

  jaa tele.

 • 4

  chaga

Matamshi

enea

/ɛnɛja/