Ufafanuzi wa enezi katika Kiswahili

enezi

kivumishi

  • 1

    -enye kueneza.

    ‘Katibu Mwenezi mtu aliyepewa jukumu la kusambaza sera za chama chake cha kisiasa’

Matamshi

enezi

/ɛnɛzi/