Ufafanuzi msingi wa engaenga katika Kiswahili

: engaenga1engaenga2

engaenga1

kitenzi sielekezi~ea, ~eka, ~esha, ~eana, ~ewa, ~wa

 • 1

  ingiwa na shaka au wasiwasi; kosa kuwa na msimamo maalumu.

  sita

Matamshi

engaenga

/ɛngaɛnga/

Ufafanuzi msingi wa engaenga katika Kiswahili

: engaenga1engaenga2

engaenga2

kitenzi elekezi~ea, ~eka, ~esha, ~eana, ~ewa, ~wa

 • 1

  lea mtoto kwa upole kupita kiasi hata kumharibu tabia.

  dekeza

 • 2

  tunza kitu kwa hadhari kubwa.

Matamshi

engaenga

/ɛngaɛnga/