Ufafanuzi wa enyewe katika Kiswahili

enyewe

kivumishi

  • 1

    peke yake.

    ‘Amejipiga mwenyewe’

  • 2

    -enye kuhusikana na.

    ‘Mwambie mwenyewe akupe’

Matamshi

enyewe

/ɛɲɛwɛ/