Ufafanuzi msingi wa enzi katika Kiswahili

: enzi1enzi2

enzi1

kitenzi elekezi

 • 1

  onyesha heshima au mapenzi.

  penda

 • 2

  weka mtu kwenye nafasi ya heshima au utukufu.

Asili

Kar

Matamshi

enzi

/ɛnzi/

Ufafanuzi msingi wa enzi katika Kiswahili

: enzi1enzi2

enzi2

nomino

 • 1

  ‘Kiti cha enzi’
  mamlaka
  , → utawala
  , and → utukufu

 • 2

  wakati, muda au kipindi cha kushika utawala.

Asili

Kar

Matamshi

enzi

/ɛnzi/