Ufafanuzi wa etimolojia katika Kiswahili

etimolojia

nominoPlural etimolojia

  • 1

    uwanja unaohusika na historia ya maneno na maana zake.

Asili

Kng

Matamshi

etimolojia

/ɛtimɔlɔʄija/