Ufafanuzi wa eua katika Kiswahili

eua

kitenzi elekezi

  • 1

    takasa kwa kunyunyiza maji.

    zingua, safisha

  • 2

    ondoa mwiko, najisi au uchafu.

Matamshi

eua

/ɛwuwa/