Ufafanuzi wa fadhaa katika Kiswahili

fadhaa

nominoPlural fadhaa

  • 1

    hangaiko la moyo.

    ‘Shikwa na fadhaa’
    wasiwasi, hofu

Asili

Kar

Matamshi

fadhaa

/faða:/