Ufafanuzi wa fadhaisha katika Kiswahili

fadhaisha

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya mtu aingiwe na wasiwasi.

Asili

Kar

Matamshi

fadhaisha

/faðaI∫a/