Ufafanuzi wa fadhila katika Kiswahili

fadhila

nominoPlural fadhila

 • 1

  ‘Siku za fadhila siku anazopewa mtu ili alipe deni lake au akamilishe bima’

 • 2

  ‘Hana fadhila’
  methali ‘Fadhila za punda ni mateke’
  methali ‘Fadhila za nyuki ni moto’
  shukurani

Asili

Kar

Matamshi

fadhila

/faĆ°ila/