Ufafanuzi wa fadhili katika Kiswahili

fadhili

kitenzi elekezi

  • 1

    toa msaada wakati wa haja au shida; fanya hisani.

    tajamali

  • 2

    fanya wema.

Asili

Kar

Matamshi

fadhili

/faĆ°ili/