Ufafanuzi wa fahamisha katika Kiswahili

fahamisha

kitenzi elekezi

  • 1

    pasha mtu habari.

  • 2

    tambulisha mtu kwa mtu mwingine.

Matamshi

fahamisha

/fahamiāˆ«a/