Ufafanuzi wa fahamivu katika Kiswahili

fahamivu

kivumishi

  • 1

    -epesi kufahamu; -a kufahamu; -erevu; -a kufahamika.

Matamshi

fahamivu

/fahamivu/