Ufafanuzi msingi wa fahamu katika Kiswahili

: fahamu1fahamu2

fahamu1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha

 • 1

  ingia akilini baada ya kuelezwa.

  dhukuru, jua

 • 2

  jua kwa akili au kwa kuambiwa.

  tambua, taalamika, elewa, maizi, amili

 • 3

  kuwa na akili ya kukumbuka.

Asili

Kar

Matamshi

fahamu

/fahamu/

Ufafanuzi msingi wa fahamu katika Kiswahili

: fahamu1fahamu2

fahamu2

nominoPlural fahamu

 • 1

  uwezo wa kuhisi, kuelewa, kujua au kutambua.

  akili, ujanja, hekima, werevu, bongo

Matamshi

fahamu

/fahamu/