Ufafanuzi wa faharasa katika Kiswahili

faharasa, faharisi

nominoPlural faharasa

 • 1

  orodha ya mada au majina yaliyomo kitabuni na kurasa zake ambayo huwekwa mwishoni mwa kitabu.

 • 2

  orodha ya maneno yaliyomo kitabuni na yaliyoelezwa maana zake katika kurasa za mwisho za kitabu.

 • 3

  orodha ya vichwa vya mambo yaliyomo kitabuni na kurasa zake yanayowekwa katika kurasa za mwanzo za kitabu.

  yaliyomo

Asili

Kar

Matamshi

faharasa

/faharasa/