nominoPlural fahari
- 1
jambo au kitu cha sifa cha kujivunia kwa watu.
madaha, makuu, madaha, makuu - 2ukuu, utukufu
Asili
Kar
Matamshi
fahari
/fahari/kivumishi
- 1
-enye sifa; -a kupendeza.
jambo au kitu cha sifa cha kujivunia kwa watu.
Kar
-enye sifa; -a kupendeza.