Ufafanuzi wa fahiwa katika Kiswahili

fahiwa

nomino

Sarufi
  • 1

    maana k.v. ya neno na kikundi cha maneno.

  • 2

    dhana inayowakilisha neno.

Matamshi

fahiwa

/fahiwa/