Ufafanuzi wa faida katika Kiswahili

faida

nominoPlural faida

 • 1

  pato linalobakia baada ya kutoa gharama za ununuzi wa bidhaa, usafirishaji au uendeshaji wa biashara.

  tijara, kivuno, chumo, ziada, mavuno

 • 2

  jambo au kitu chenye maana au manufaa.

  ‘Faida ya gawio’
  ‘Faida ghafi’
  ‘Faida safi’
  ‘Faida ya hisa’
  manufaa

Asili

Kar

Matamshi

faida

/faIda/