Ufafanuzi wa faidika katika Kiswahili

faidika

kitenzi sielekezi

  • 1

    pata manufaa kutokana na jambo fulani.

    nufaika

Asili

Kar

Matamshi

faidika

/faIdika/