Ufafanuzi wa fainali katika Kiswahili

fainali

nominoPlural fainali

  • 1

    shindano au mashindano ya mwisho kabisa, hasa ya michezo, ili kupata mshindi.

    ‘Nusu fainali’
    ‘Robo fainali’

Asili

Kng

Matamshi

fainali

/faInali/