Ufafanuzi wa faja katika Kiswahili

faja

nominoPlural mafaja

  • 1

    banda la wanyama.

    zizi

  • 2

    boma, ua

Asili

Kar

Matamshi

faja

/faʄa/