Ufafanuzi msingi wa faksi katika Kiswahili

: faksi1faksi2

faksi1

nominoPlural faksi

 • 1

  mfumo wa kutuma matini kieletroniki kwa kutumia simu.

Asili

Kng

Matamshi

faksi

/faksi/

Ufafanuzi msingi wa faksi katika Kiswahili

: faksi1faksi2

faksi2

nominoPlural faksi

 • 1

  matini yaliyotumwa kielektroniki.

  simu

 • 2

  mashine au kifaa cha kutumia au kupokelea barua za kielektroniki.

  kipepesi, nukushi

Asili

Kng

Matamshi

faksi

/faksi/