Ufafanuzi wa falaki katika Kiswahili

falaki

nominoPlural falaki

 • 1

  elimu ya nyota.

  unajimu

 • 2

  maisha ya kubahatisha mambo yatakayotokea kulingana na elimu ya nyota.

 • 3

  njia ya sayari k.v. mwezi au jua.

 • 4

  mbingu, anga

Asili

Kar

Matamshi

falaki

/falaki/