Ufafanuzi wa fali katika Kiswahili

fali

nominoPlural fali

 • 1

  ubashiri kwa kutumia njia fulani ya hesabu.

  ‘Tazama fali’

 • 2

  ndege mbaya; ndege wa ubashiri.

  ‘Usinitie fali mbaya’

 • 3

  bahati, sudi

Asili

Kar

Matamshi

fali

/fali/