Ufafanuzi wa faluda katika Kiswahili

faluda

nominoPlural faluda

  • 1

    chakula kinachopikwa kwa majani makavu, maziwa na sukari na huachwa kipoe na kuganda kabla hakijaliwa kama pudini.

Asili

Kar

Matamshi

faluda

/faluda/