Ufafanuzi wa fanana katika Kiswahili

fanana

kitenzi sielekezi~ika, ~isha

  • 1

    kuwa na sura au umbo moja; karibia kuwa na sura au umbo moja.

    shabihiana, landana, lingana

Matamshi

fanana

/fanana/