Ufafanuzi wa fanani katika Kiswahili

fanani

nominoPlural fanani

  • 1

    mtendaji wa kazi za sanaa za maonyesho.

  • 2

    msanii katika fasihi simulizi; mtu anayesimulia hadithi, methali, vitendawili, n.k. au anayecheza ngoma; msanii mtendaji.

    ‘Fanani hutumia lugha kueleza dhamira ya kazi yake ya fasihi’

Matamshi

fanani

/fanani/