Ufafanuzi wa fanikiwa katika Kiswahili

fanikiwa

kitenzi sielekezi

 • 1

  pata unachohitaji au unachotamani.

 • 2

  faulu, fuzu, ambua

 • 3

  pata neema.

  stawi

Matamshi

fanikiwa

/fanikiwa/