Ufafanuzi msingi wa faraja katika Kiswahili

: faraja1faraja2

faraja1 , faraji

nominoPlural faraja

  • 1

    utulivu wa moyo, hasa baada ya kuondokwa na maumivu au shida.

    ‘Pata faraja’
    liwazo

Asili

Kar

Matamshi

faraja

/faraʄa/

Ufafanuzi msingi wa faraja katika Kiswahili

: faraja1faraja2

faraja2

nominoPlural faraja

Asili

Kar

Matamshi

faraja

/faraʄa/