Ufafanuzi msingi wa faraka katika Kiswahili

: faraka1faraka2

faraka1

nominoPlural faraka

  • 1

    utenganisho, uachaji.

  • 2

    sehemu

Matamshi

faraka

/faraka/

Ufafanuzi msingi wa faraka katika Kiswahili

: faraka1faraka2

faraka2

nominoPlural faraka

  • 1

    kichana cha kutenganishia nyuzi.

Matamshi

faraka

/faraka/