Ufafanuzi wa fariji katika Kiswahili

fariji

kitenzi elekezi

  • 1

    liwaza mtu wakati wa tabu au huzuni.

    poza, liwaza

  • 2

    burudisha

Asili

Kar

Matamshi

fariji

/fariʄi/