Ufafanuzi wa farijika katika Kiswahili

farijika

kitenzi sielekezi~ia

  • 1

    kuwa na utulivu wa moyo baada ya kupata shida au maradhi.

    pumzika

Asili

Kar

Matamshi

farijika

/fariʄika/