Ufafanuzi msingi wa farisi katika Kiswahili

: farisi1farisi2

farisi1

nominoPlural farisi

 • 1

  mtu hodari wa jambo au mambo fulani.

  stadi, fundi, bingwa, galacha

 • 2

  mpanda farasi hodari.

Matamshi

farisi

/farisi/

Ufafanuzi msingi wa farisi katika Kiswahili

: farisi1farisi2

farisi2

kivumishi

 • 1

  -enye uhodari wa mambo fulani; -a ustadi; -a ufundi.

Asili

Kar

Matamshi

farisi

/farisi/