Ufafanuzi wa fasaha katika Kiswahili

fasaha

kivumishi

  • 1

    -enye usahihi wa maneno; -enye kutoa au kupatia kila neno maana yake sahihi; -enye matamshi safi.

    ‘Kiswahili fasaha’

Matamshi

fasaha

/fasaha/