Ufafanuzi wa fashini katika Kiswahili

fashini

nominoPlural fashini

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    kipande cha ubao kinachovikwa kwenye shikio la usukani wa chombo k.v. jahazi.

  • 2

    Kibaharia
    sehemu ya omo ya jahazi ambapo mbao zinakutana.

Asili

Kng

Matamshi

fashini

/fa∫ini/