Ufafanuzi msingi wa fasihi katika Kiswahili

: fasihi1fasihi2

fasihi1

kivumishi

  • 1

    -enye lugha safi; -enye kutumia lugha safi na nzuri.

Asili

Kar

Matamshi

fasihi

/fasihi/

Ufafanuzi msingi wa fasihi katika Kiswahili

: fasihi1fasihi2

fasihi2

nominoPlural fasihi

  • 1

    somo linalohusiana na tungo za sanaa k.v. ushairi, riwaya, tamthilia, tenzi, semi, vitendawili, hadithi na ngano.

Matamshi

fasihi

/fasihi/