Ufafanuzi msingi wa fasihi simulizi katika Kiswahili

: fasihi simulizi1Fasihi simulizi2

fasihi simulizi1

  • 1

    kazi ya fasihi k.v. hadithi, ngano na vitendawili iliyohifadhiwa na kurithishwa kutoka kizazi kimoja hadi kingine kwa njia ya mdomo.

Ufafanuzi msingi wa fasihi simulizi katika Kiswahili

: fasihi simulizi1Fasihi simulizi2

Fasihi simulizi2

  • 1

    fasihi inayotolewa na kupokezanwa kwa kusimuliwa.