Ufafanuzi wa fawidhi katika Kiswahili

fawidhi

kitenzi elekezi

  • 1

    kabidhi kitu kwa mtu ili akutunzie; weka amana.

  • 2

    -pa mtu mamlaka au uwezo wa kufanya jambo au kukata shauri kwa niaba yako.

Asili

Kar

Matamshi

fawidhi

/fawiĆ°i/