Ufafanuzi msingi wa fedha katika Kiswahili

: fedha1fedha2

fedha1

nomino

  • 1

    madini yenye rangi kama ya bati.

    ‘Sinia ya fedha’

Asili

Kar

Matamshi

fedha

/fɛða/

Ufafanuzi msingi wa fedha katika Kiswahili

: fedha1fedha2

fedha2

nomino

Matamshi

fedha

/fɛða/