Ufafanuzi wa fedheha katika Kiswahili

fedheha

nominoPlural fedheha

  • 1

    utwezo.

    aibu, soni, muazara, kinamasi, haya, izara, hizaya, tua, janaa

Asili

Kar

Matamshi

fedheha

/fɛðɛha/